Knihobot
Knihu momentálně nemáme skladem

Malezi na Elimu ya Kiinjili katika Nchi inayoendelea Tanzania

Více o knize

Judah B. M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya „inculturation“ ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa). Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini. Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.

Nákup knihy

Malezi na Elimu ya Kiinjili katika Nchi inayoendelea Tanzania, Judah Kiwovele

Jazyk
Rok vydání
2011
Jakmile ji vyčmucháme, pošleme vám e-mail.

Doručení

  •  

Platební metody

2021 2022 2023

Navrhnout úpravu